Skip to main content

Hii Ndio Reason why Unafaa Uchukulie Hustle yako very Serious...

Kuna story iliuma wasee wengi sana kutoka Kisii County back in 2021. Villagers kadhaa walichomwa na moto baada ya kushukiwa kushukiwa ya kwamba ni wachawi. 

Ukiangalia juu juu unaweza sema hii ni story ya superstition ama mob justice. Lakini ukiingia ndani zaidi, unaona reality yenye huwa painful sana kwa society nyingi za Africa: mara nyingi mnyonge hana haki. Watu ambao hawana nguvu, hawana pesa, hawana influence, wakipatikana kwa mazingira ya accusation, mara nyingi hawana sauti ya kujitetea.


Na history imetuonyesha kitu moja consistently: poverty inafanya mtu akuwe vulnerable sana kwa systems, kwa jamii na hata kwa injustice ya watu wengine.

Na ndio maana hii generation yetu inafaa kuchukulia economic empowerment serious kuliko venye tunafanya saa hii. Ukianza biashara, ukijenga skills, ukisaka financial freedom, remember that hii si story ya wewe tu kununua gari ama kuishi maisha soft. Ni story inahusu kuhakikisha watoto wako, familia yako na generation yako hawafiki place ya kutegemea mercy ya society yenye mara nyingi haipei mnyonge nafasi. 


Dunia imechange nowadays, lakini principle bado ni ile ile: ukiwa weak economically, mara nyingi choices zako hupungua. 

Hustle yako leo inaweza kuwa ndio kitu inabreak cycle ya suffering ambayo generations before us walikua trapped ndani yake. 


#Build something. Jitume. Si kila vita tunapigana ni ya leo. 

Zingine tunapigana on behalf of our future generations.


final story yenye tunaeza consider.

--

Written with Love by

Joshua Gichana

Tumakazi Jobtech

PS: Feel free kuacha your thoughts below pertaining to this issue ya wasee kuekelewa kesi za witchcraft. Are these genuine cases of innocent people kukua lynched ama wanadeserve kupitia what they have gone through?

Comments

Popular posts from this blog

A Complete Guide for Turnover Tax for Small Businesses in Kenya

      A Guide from an Advocate Perspective https://muteamuthuriadvocates.com/blog/turnover-tax-kenya A Complete Guide Directly from KRA https://www.kra.go.ke/helping-tax-payers/faqs/introduction-to-itax

SMEs Hapa Kenya Tunapenda Cash Sana… But At What Cost?

  Wasee wengi wana-run biashara huku Kenya wanaamini kitu moja bila kuquestion: “Kulipa cash ndio safest. Cash ndio inaweka biashara safe.” Na juu tumezoea culture ya kuavoid madeni, tunafeel kama kulipa kitu full immediately ni sign ya discipline.  Lakini what if hiyo belief ndio inafanya biashara yako ikuwe slower kuliko venye inafaa? Imagine una stock opportunity imejitokeza, ama unataka kuongeza marketing budget juu demand imeanza kupanda… lakini cash yote imeshikiliwa mahali moja juu ulilipa kila kitu upfront.  Suddenly unakosa flexibility. Na biashara bila flexibility, mara mingi hukua vulnerable kuliko venye owner anarealize. The uncomfortable truth ni hii: cash inaweza kua quietly draining your business growth. Big companies hawakai na pesa yao yote locked kwa one place. Wanajua leverage. Wanajua kutumia financing options, installment models, na systems zenye zinaacha cash flow yao ikiwa free for expansion, marketing, na grabbing opportunities faster kuliko com...