Skip to main content

Posts

A Complete Guide for Turnover Tax for Small Businesses in Kenya

      A Guide from an Advocate Perspective https://muteamuthuriadvocates.com/blog/turnover-tax-kenya A Complete Guide Directly from KRA https://www.kra.go.ke/helping-tax-payers/faqs/introduction-to-itax
Recent posts

The Strait of hermouz imefungwa... What does this mean for your Biz?

The Strait of Hormuz Imefungwa... What Does This Mean for Your Biz? Kama umekuwa ukisikia news kuhusu Strait of Hormuz kufungwa, unaweza kujiuliza, "Hii inanihusu aje na niko Kenya?" Ukweli ni kwamba hii ni moja ya njia muhimu zaidi duniani ya kusafirisha mafuta. Ikipata disruptions, gharama ya mafuta huanza kupanda kimataifa. Hiyo inaweza kumaanisha gharama za usafirishaji kuongezeka, bidhaa kuingia kwa bei ya juu, na mwisho wa siku biashara nyingi kulazimika kuongeza bei au kupunguza profit margins. Kwa biashara ndogo na za kati, impact inaweza kuonekana haraka kuliko unavyodhani. Supplier anaongeza bei, delivery inachelewa, customers wanaanza kutumia pesa kwa tahadhari zaidi na cashflow inaanza kukuwa tight. Hata kama hauuzi mafuta, unaweza kujikuta unaathirika kupitia gharama za logistics, electricity, packaging au bidhaa ambazo zinategemea imports. Hii ndiyo sababu biashara za kisasa hazitegemei bahati pekee. Ni muhimu kujua bidhaa gani zinakuletea faida kubwa, kufuatil...

5 key business metrics that you should master

Key Business Metrics You Should Master as a Business Owner Running a business in Kenya requires more than just hard work and good intentions. To truly grow, you need to know your numbers. Many local entrepreneurs often focus only on how much money they collect at the end of the day. But that single figure does not tell you the whole story. Mastering a few key business metrics will help you make smarter decisions, avoid running out of cash and steadily increase your profits. Here are five essential numbers you should track. 1. Revenue (Your Total Sales) Revenue is the total amount of money coming into your business from sales before you subtract any costs. If you run a *mama mboga* stall and you sell KSh 5,000 worth of tomatoes and onions in a day, that is your daily revenue. While it is good to see this number grow, do not be fooled by high revenue alone. A high revenue figure can hide serious problems if your costs are also high. The key is to track your revenue daily, weekly, or mont...

How does the Customer Journey marketing funnel look like?

How Does the Customer Journey Marketing Funnel Look Like? For a small business owner in Kenya, think of the marketing funnel simply as the journey a stranger takes to become your loyal, regular customer. It is the path from "I have never heard of you" to "I will only buy from you." Just like a visitor walking into your shop, asking questions, making a purchase and then coming back with a friend, the funnel helps you understand what your customer needs at each step. When you know this journey, you can focus your time and small budget on the right things. At the very top of the funnel is Awareness. This is where people first learn that your business exists. Imagine you run a small kinyozi (barber shop) or a mama mboga vegetable stall. At this stage, a potential customer might see your painted sign from the road, notice a post you made on your WhatsApp status or hear about you from a neighbour. They are not ready to buy yet; they are just becoming aware that you ...

The Dangerous Side Of BNPL Most Businesses Are Ignoring

  For many years, watu wengi huku Kenya walikua wanaamini kitu moja simple: “Kama huna pesa, usinunue.” Lakini hiyo imeanza kubadilika haraka sana. Sasa hivi tunaingia era ya Buy Now Pay Later (BNPL)  chukua product leo, lipa pole pole baadaye. Kwa juu juu, hii inaonekana kama innovation smart sana. Customers wanapata vitu haraka, biashara zinaongeza sales, everyone wins. Lakini kuna dark side yenye watu wengi hawaanzi kuona mpaka damage ifanyike. Ju ukweli ni: BNPL haijajengwa tu kusaidia customers… mara nyingi imejengwa kuelewa psychology ya watu na kufanya spending ikuwe easier kuliko venye wallet yao inaweza handle. Think about it. Customer ambaye hangetoa 20,000 cash instantly anaambiwa alipe 2,000 leo halafu amalizie baadaye. All of a sudden, decision ya kununua haiko based on affordability anymore iko based on emotion ya “naeza manage hii installment.” Problem inaanza pale watu wanaanza kubuy vitu hawakua ready financially kubuy in the first place. Kidogo kidogo debt ...

Before You Call Yourself A Founder, There’s Something You Need To Understand

  Watu wengi huona startup founders huku Kenya wakipost launches, new websites, pitch decks, partnerships, ama product demos na kudhani ati entrepreneurship ni freedom, flexibility, na eventually success. Lakini reality ya kuwa startup founder Kenya ni different kabisa. Behind every “we are building something exciting” post, kuna sleepless nights, pressure ya bills, uncertainty ya market, na constant battle ya kujaribu kujenga kitu meaningful while resources zako ziko limited vibaya. Most people outside hawaoni hiyo side. Wanadhani startup ni cool mpaka waone founder mwenye amekaa miezi kadhaa bila salary juu cash yote imeenda kwa product development ama customer acquisition. The hard truth ni hii: building a startup in Kenya si mchezo. Una-build product while bado unaeducate market juu wengi hawajaelewa problem unajaribu solve. Una-compete na established companies zenye ziko na teams kubwa, marketing budget kubwa, na customer trust yenye wewe bado unatafuta. Sometimes unapata gre...

School Taught Us How To Work… But Nobody Taught Us These Money Rules

  Wasee wengi huku Kenya wamegrow wakiamini formula moja rahisi sana: soma vizuri, pata job, fanya kazi hard, save pesa… maisha itajipa eventually. Lakini reality ya world ya leo imechange vibaya sana. Cost of living inapanda kila mwaka, opportunities zinabadilika faster, na kufanya kazi hard peke yake haiguarantee financial freedom kama venye watu walikuwa wanaamini before.  Truth ni hii watu wengi wanachase pesa, but very few wanajifunza rules za pesa. Na hapo ndio tofauti huanza kujitokeza kati ya watu wanaendelea kujenga wealth quietly na wale wanaendelea kuhustle mwaka hadi mwaka lakini financial position yao haichange sana. Kuna principle moja wealthy people wanaelewa mapema sana: money lazima ikuwe employee wako, si wewe kuwa employee wa pesa forever. Hii ndio reason investment knowledge ni muhimu kuliko venye watu wengi wanafikiria. Ukiishi maisha ya kutumia kila kitu unaearn, without building assets zenye zinaweza kukugeneratea income in the future, unaeza kufanya...