For many years, watu wengi huku Kenya walikua wanaamini kitu moja simple: “Kama huna pesa, usinunue.” Lakini hiyo imeanza kubadilika haraka sana. Sasa hivi tunaingia era ya Buy Now Pay Later (BNPL) chukua product leo, lipa pole pole baadaye. Kwa juu juu, hii inaonekana kama innovation smart sana. Customers wanapata vitu haraka, biashara zinaongeza sales, everyone wins. Lakini kuna dark side yenye watu wengi hawaanzi kuona mpaka damage ifanyike. Ju ukweli ni: BNPL haijajengwa tu kusaidia customers… mara nyingi imejengwa kuelewa psychology ya watu na kufanya spending ikuwe easier kuliko venye wallet yao inaweza handle. Think about it. Customer ambaye hangetoa 20,000 cash instantly anaambiwa alipe 2,000 leo halafu amalizie baadaye. All of a sudden, decision ya kununua haiko based on affordability anymore iko based on emotion ya “naeza manage hii installment.” Problem inaanza pale watu wanaanza kubuy vitu hawakua ready financially kubuy in the first place. Kidogo kidogo debt ...