Kuna story iliuma wasee wengi sana kutoka Kisii County back in 2021. Villagers kadhaa walichomwa na moto baada ya kushukiwa kushukiwa ya kwamba ni wachawi. Ukiangalia juu juu unaweza sema hii ni story ya superstition ama mob justice. Lakini ukiingia ndani zaidi, unaona reality yenye huwa painful sana kwa society nyingi za Africa: mara nyingi mnyonge hana haki . Watu ambao hawana nguvu, hawana pesa, hawana influence, wakipatikana kwa mazingira ya accusation, mara nyingi hawana sauti ya kujitetea. Na history imetuonyesha kitu moja consistently: poverty inafanya mtu akuwe vulnerable sana kwa systems, kwa jamii na hata kwa injustice ya watu wengine. Na ndio maana hii generation yetu inafaa kuchukulia economic empowerment serious kuliko venye tunafanya saa hii. Ukianza biashara, ukijenga skills, ukisaka financial freedom, remember that hii si story ya wewe tu kununua gari ama kuishi maisha soft. Ni story inahusu kuhakikisha watoto wako, familia yako na generation yako hawafiki place ...

Comments
Post a Comment